MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club, kitarejea. Dar es Salaam siku ya jumatatu tayari kwa kukwea ‘pipa’ jumanne alfajiri kueleka Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya wenyeji Mwadui Fc kwenye uwanja wa Kambarage.

Afisa habari wa Yanga, Dismas Ten ameiambia www.yangasc.co.tz kuwa matayarisho kwa ajili ya safari hiyo yanakwenda vizuri.

enedelea kuisoma zaidi kwenye ukurasa wa habari hapo juu

Comments

0