Shop

Polo Shirt – kijani

Rated 4.17 out of 5 based on 23 customer ratings
(25 customer reviews)

Sh20,000.00

Categories: ,

25 reviews for Polo Shirt – kijani

 1. Rated 5 out of 5

  Very good I like that

 2. Rated 5 out of 5

  Hii ni nzuri tupata vitu orginal na tutaweza changia timu

 3. Rated 5 out of 5

  Nice

 4. Rated 4 out of 5

  Yap..! Tupo vizuri

 5. Rated 5 out of 5

  Safi my tim sasa naweza pata jezy og

 6. Rated 4 out of 5

  nice

 7. Rated 5 out of 5

  yah ni nzuri kwa namna hii timu itajitegemea asnte sana dismas

 8. Rated 3 out of 5

  Nahitaji hiyo t shirt naipataje?

 9. Rated 4 out of 5

  uzi mzuri,tutengeneze namna nzuri ila mashabiki tuweze kupata kitu original na hatimaye kuchangia klabu

 10. Rated 4 out of 5

  Nashindwa kujiunga inaniambia invalid user name

 11. Rated 3 out of 5

  Nahitaji Tshirt

 12. Rated 4 out of 5

  Sasa Yanga yetu inaenda kule tunakotaka. Hongera za club yangu pendwa.

 13. Rated 1 out of 5

  1 green

 14. Rated 5 out of 5

  Hi, i need one piece of this t Shirt but i dont know how can i Get my cart number

 15. Rated 5 out of 5

  Kuwa na Website ambayo unaweza uza Kitu products za team kwakweli haya ni maendeleo mazuri, tunategemea makubwa zaidi ya haya. Ninahitaji Polo Tshirt ya Kijani Moja. Wekeni hata Tracksoot za Yanga me nahitaji mno

 16. Rated 4 out of 5

  Vzuri kwa tm yetu kuwa ya kimataifa kwa tovuti matata itakayoitangaza tm,wachezaji na bidhaa zake. Muhimu iwe inaupdate taarifa zake Mara kwa Mara,itapendeza zaidi

 17. Rated 5 out of 5

  tunazipataje jmn
  ili kuchangia timu isonge mbele

 18. Rated 5 out of 5

  Jambo la kusikitisha hamtoi suluhisho pale mtu anapokwama kupata confirmation code ili ajisajili,mimi sasa huu mwezi mzima hamjanitumia,nashindwa kununua bidhaa za kuweza kuichangia timu kwa uzembe wenu

 19. Rated 1 out of 5

  I need
  green tshirt

 20. Rated 5 out of 5

  Mbona hakuna maelezo jinsi ya kununua hizo Tshirts tunazitaka

 21. Rated 5 out of 5

  Good

 22. Rated 5 out of 5

  Nahitaji polo shirt kijani moja

 23. Leonard Mcharo
  Rated 4 out of 5

  (verified owner)

  Napenda Sana hizi. Wanaohusika na mauzo nimefanya order online Hadi sasa hakuna aliyenijibu. Nitaipataje kama siko Dar

 24. But wanna say that this is invaluable, Thanks for taking your time to write this.

  http://www.zvodretiluret.com/

 25. Hello! I just would like to give a huge thumbs up for the great info you have here on this post. I will be coming back to your blog for more soon.

  http://www.furtdsolinopv.com/

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *