BAADA ya siku kadhaa ndani ya kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini, hatimaye kocha Zahera Mwinyi amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Yanga Sc.

Majira ya saa 11 jioni leo  hii makao makuu ya klabu, Zahera amesaini kandarasi hiyo mbele ya mwenyekiti wa kamati ya mashindano Hussein Nyika na katibu mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa.

Usikose kutizama YANGA TV  ijumaa ijayo utapata mengi aliyosema kocha huyu mara baada ya kusaini kandarasi hii.

Comments

4
Elikunda Mlay 1:08 am May 19, 2018

Safi sana Kwahiyo ataanza kuonekana kwenye bench kwanzia kesho?

Edwine Mugarula 4:32 am July 15, 2018

Tunamkarisha kwa mikono miwili.

zvodret iluret 8:11 am August 28, 2018

I truly wanted to construct a small comment to appreciate you for all of the lovely techniques you are sharing on this website. My time intensive internet investigation has finally been paid with professional strategies to write about with my colleagues. I ‘d declare that many of us readers actually are undeniably blessed to exist in a fantastic place with so many special individuals with very beneficial solutions. I feel pretty lucky to have used the website and look forward to plenty of more excellent times reading here. Thank you again for a lot of things.

http://www.zvodretiluret.com/

furtdsolinopv 12:41 am September 8, 2018

Very interesting topic, appreciate it for posting.

http://www.furtdsolinopv.com/