KIKOSI cha Yanga sc kimeondoka asubuhi hii kuelekea Shelisheli tayari kwa mchezo wa marejeano ya ligi ya mabingwa afrika dhidi ya wenyeji St Louis.

Kwenye uwanja wa Ndege wa JKNIA Mwenyekiti wa kamati ya mashindano Hussein Nyika amesema kikosi kinaondoka kueleka shelisheli kikiwa na morari ya juu hasa baada ya matayarisho mazuri na ushindi mnono kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Majimaji.

Vijana  wako fiti na wana morari ya hali ya juu, tumefanya mazoezi ya kutosha kwa muda wa siku tatu, hapo kabla tulikuwa na mchezo wa ligi dhidi ya Majimaji mchezo ambao mwalimu aliutumia kurekebisha makosa aliyoyaona kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya St Louis na sasa kikosi chache  kiko kamili kwenda kumaliza kazi huko shelisheli.

Kikosi cha Yanga kikiwa ndani ya ndege safarini kuelekea Shaelisheli.

 

MANENO YA HUSSEIN NYIKA  WAKATI YANGA IKIONDOKA KUELEKEA SHELISHELI.

Comments

10
Egidius Mushubirwa 12:58 pm February 18, 2018

Safari njema, tunawatakia ushindi ili tuweze kusonga mbele.

Egidius Mushubirwa 12:59 pm February 18, 2018

Safari njema.

mwasenga 1:52 pm February 18, 2018

kila la kheri wa kimataifa

Omary kitale 6:41 pm February 18, 2018

Safari njema tunawaombea ushindi Katika game yetu.

Nyamtaraj
Nyamtaraj 10:39 am February 21, 2018

kila la kheri timu yangu pendwa

Nyamtaraj
Nyamtaraj 10:40 am February 21, 2018

kila la kheri timu yangu pendwa

sabato 1:12 pm February 21, 2018

nawatakieni ushindi my beloved club

sabato 1:16 pm February 21, 2018

MUNGU awapatieni ushindi

zvodretiluret 10:46 am September 7, 2018

Very nice post. I just stumbled upon your blog and wished to say that I have really enjoyed browsing your blog posts. In any case I will be subscribing to your feed and I hope you write again very soon!

http://www.zvodretiluret.com/

Blacked Porn 5:04 pm November 19, 2018

Thanks for this great information. Well I wants to know little more about how we can convert any amazon link into affiliate link. Like we have tool for flipkart link but I am unable to find any tool for Amazon. Can you suggest me anyone?

https://www.rude69.com/category/blacked-raw/