Kikosi cha  mabingwa wa kihstoria  wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Yanga sc alhamisi hii kitasafiri kuelekea  Algeria  tayari kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi  ya kombe la  shirikisho dhidi ya wenyeji USM Algers.

Meneja  wa Yanga sc Hafidh Saleh  amesema kuwa matayarisho ya mchezo huo yanakwenda  vizuri na ni kiu ya kila mmoja kikosini kuona  timu inaibuka na matokeo mazuri ili kutengeneza mazingira  salama  kwenye kundi.

Tuko sawa tumejiandaa, tunahitaji kupata matokeo mazuri, ili kujenga ari mpya katika adhma yetu ya kufanya vizuri kimataifa,hatua ya makaundi ni ngumu kwa sababu  kila mchezo unakutana na timu ngumu,nia yetu msimu huu  tufike mbali zaidi  kuliko miaka yote iliyopita.

 

Comments

2
zvodret iluret 5:16 pm August 29, 2018

This really answered my problem, thank you!

http://www.zvodretiluret.com/

furtdsolinopv 6:43 pm September 12, 2018

Hello, Neat post. There is an issue together with your site in internet explorer, would check this?K IE nonetheless is the marketplace chief and a good part of other folks will miss your magnificent writing because of this problem.

http://www.furtdsolinopv.com/