KIKOSI cha Yanga  kinatarajia kusafiri kesho asubuhi kuelelea Songea tayari kwa mchezo wa kombe la ASFC dhidi ya wenyeji Majimaji Fc.

Akizungumza na yangasc.co.tz muda mfupi uliopita Ofisa habari Dismas Ten amesema kuwa,Yanga inasafiri kuelekea Songea kwa ndege hapo kesho lakini kukiwa na shaka kubwa kikosini juu ya ‘mbanano’ wa ratiba kwa michezo inayofuata ya kikosi chake .

Tutacheza Songea tarehe 25,kisha Mtwara tarehe 28  halafu Morogoro tarehe 3 hii si ratiba rafiki hasa ukizingatia tuna mchezo wa ligi ya mabingwa tarehe 6, tunajaribu kuwasiliana na shirikisho kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo  wa Morogoro ili tupate muda wa kujindaa kabla ya kucheza na Township Rollers ya Botswana.

HUYU HAPA DISMAS TEN AKIZUNGUMZA  MAPEMA LEO.

Download

Comments

4
hassan 10:01 am February 24, 2018

Message… *nikweli ratiba sio rafiki lakini hakuna namna inashangaza kuona ndanda na lipuli mechi yao inasogezwa ila ya yanga ambae anawakilisha nchi anashindwa kupewa nafasi.pili msemaji wetu jitahidi kua unatuwekea habari kila wakati ili tuwe tunajua maendeleo ya timu yetu

Hakim 2:00 pm February 24, 2018

Tupambane ili tuweze kupata matokeo katika mechi ya Songea then viongozi jitahidini mechi na mtibwa schedule isogezwe mbele mana kutoka tarehe 3 mpaka 6 ni karibu mno.

MACKI. 10:49 am February 26, 2018

Message… * kweli aisee ila naipongeza team yetu #daima mbele nyuma mwiko

zvodret iluret 11:16 am September 7, 2018

Keep up the great work, I read few posts on this site and I conceive that your site is rattling interesting and has lots of fantastic information.

http://www.zvodretiluret.com/