KOCHA Shadrack Nsajigwa amemuanzisha  golikipa Rostand Youthe langoni leo kwenye mchezo dhidi ya Mwadui fc kwenye mchezo  wa ligi kuu ya soka Tanzania bara  unaochezwa Kambarage Stadium.

Rostand mlinda mlango namba moja wa Yanga alicheza vizuri kwenye mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Rayon Sports  uliomalizika kwa suluhu ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jumatano iliyopita.

 

Kikosi kamili cha leo dhidi ya Mwadui kimepangwa hivi.

 

HIZI HAPA DONDOO ZA MCHEZO WA MZUNGUKO WA KWANZA.

Comments

3
Innocent 10:36 pm May 19, 2018

Viongozi tunaomba mje na action plan ambayo itatuongoza kurejesha heshima ya yanga.

zvodret iluret 5:49 am August 28, 2018

Can I just say what a aid to find somebody who really is aware of what theyre speaking about on the internet. You undoubtedly know how one can convey a problem to light and make it important. More individuals have to read this and perceive this aspect of the story. I cant imagine youre not more fashionable since you undoubtedly have the gift.

http://www.zvodretiluret.com/

furtdsolinopv 8:34 pm September 13, 2018

Good ?V I should definitely pronounce, impressed with your site. I had no trouble navigating through all the tabs as well as related info ended up being truly simple to do to access. I recently found what I hoped for before you know it at all. Reasonably unusual. Is likely to appreciate it for those who add forums or something, web site theme . a tones way for your client to communicate. Excellent task..

http://www.furtdsolinopv.com/