Archive

YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC

  MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club, kitarejea. Dar es Salaam siku ya jumatatu tayari kwa kukwea ‘pipa’ jumanne alfajiri kueleka Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya wenyeji Mwadui Fc kwenye uwanja wa […]

Loading...