Archive

BUSWITA, NI SUALA LA BENCHI KUAMUA

KIUNGO  Pius Buswita  leo asubuhi amefanya mazoezi na sambamba na wachezaji wengine wa kikosi cha kwanza. kufuatia nafuu ya maumivu ya kifundo cha mguu yaliyoibuka  baada ya mchezo wa ligi dhidi dhidi ya Njombe Mji jumanne iliyopita. Mkuu wa kitengo cha utabibu cha Yanga sc, Dr Edward Bavu, amesema  Buswita alianza kulalamika. maumivu makali nyuma […]

Loading...