Archive

Beki kisiki Yanga

KIUNGO ambaye ni habari ya mjini kwa mashabiki wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi, ameangalia ukuta wa timu hiyo akawaambia viongozi anawaletea bonge la beki fundi.

Rekodi zaibeba Yanga Dar

WAKATI mashabiki wa Simba wakiicheka na kuibeza Yanga kwa kulazimishwa sare na Lipuli, rekodi zinaonyesha kuwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara bado wanaweza kuwafunika watani zao na kutwaa taji. Simba iliifunga Ruvu Shooting mabao 7-0 katika mechi ya ufunguzi wa Ligi wakati Yanga ilikwama nyumbani licha ya kucheza na timu iliyopanda daraja tu. […]

Ratiba ya Ligi Kuu Bara inahitaji marekebisho

LIGI Kuu Bara imeanza, lakini itakwenda mapumziko ikiwa zimechezwa mechi nane tu za raundi ya kwanza. Ligi itasimama kwa muda kupisha pambano la kirafiki la kimataifa kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ dhidi ya Botswana, Zebras. Mechi hiyo itachezwa wikiendi hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa imo kwenye […]

Loading...